Monday, 24 October 2016

Liverpool wapo tayari kushindana na Manchester united kwa zlatan mwingine.

Liverpool IPO tayari kushindana na Manchester united kwa ajili ya kupata saini ya Alexander isak  ambaye anatazamiwa kuwa na uwezo kama Zlatan ibrahimovic .

ASERNAL hawana malengo na WILSHERE.

Mtangazaji wa sky sport anaamini jack wilshere alitaka kuondoka Asernal kwa mkopo kwenda Bournemouth ili kupata nafasi ya kucheza.
Kiungo wa zamani wa Asernal ambaye yupo kwa mkopo hapo vitality stadium ambapo juzi ndo Siku ya kwanza kwa wilshere kucheza dakika 90 tangu mwaka 2014.

CERTIC ;Dembele kawapeleka fainali

Mchezaji wa certic mousa dembele alifunga goli moja na kuwafanya certic kushinda zidi ya Ranger katika ligi ya scottish na kuingia fainali mwezi ujao zidi ya Aberdeen.

Pep makosa yanatugharimu tena.

Kocha wa Manchester city pep guardiola alizungumzia makosa mengine ya mabeki baada kutoka drop 1-1 zidi ya Southampton.

Chelsea yawapa maumivu makali MANCHESTER UNITED na mata.

Mchezaji wa Manchester united jana jumapili amekiri kichapo 4-0 zidi ya Chelsea ni maumivu makali kwa Manchester united ,Chelsea ambayo ilijipatie magoli yake kwa Pedro,cahill,hazard na kiungo N'GOLO kante.

Rooney lazima nibakie Manchester united mpaka kufa kwangu.

Kapteni wa Manchester united ambaye amefunga goli moja msimu huu ambapo kiwango chake kilikuwa chini zidi ya Fenerbahnce hapo alhamis .
Rooney ambaye  kazi yake na umaarufu wake umeharibiwa na kocha mpya wa uingereza Gareth southgate baada kuondolewa na kwenda benchi katika mechi ya kufuzu kombe la dunia zidi ya SLOVENIA October 11.

Silva atafuta njia ya kucheza Manchester city .

Mchezaji wa Manchester city David Silva ni moja kati ya wachezaji wanao wanaoangalia uchezaji wa baadaye chini ya kocha pep guardiola baada kusikia tishio la kocha wao kuwa anataka kukisafisha kikosi cha Manchester city ili kutengeneza kikosi kinachoendana na mbinu zake za uchezaji.