Saturday, 22 October 2016

MESSI kurudi Argetina Aguero kubaki kwenye kikosi cha kwanza,

Mshambuliaji wa Manchester city hawezi kuondolewa licha ya kuwa hana kiwango kizuri kwa mechi za kimataifa ambapo kapteni  Leon Messi  amerudi baada ya kupona majeruhi yake lakini moto wa Aguero ameendelea kuwa na nafasi kwenye kikosi cha Argentina kwa ajili ya kufuzu kombe la dunia zidi ya Brazili na Kolombia .

No comments:

Post a Comment