Monday, 17 October 2016

Memphis anahuusishwa na kuelekea MILAN.

AC MILAN wanaweka sawa mambo kwa ajili ya dirisha la usajili hapo January kumchukua winga wa Manchester united  Memphis depay  baada ya maisha yake ya soka hapo OLD TRAFFORD kuwa magumu.

No comments:

Post a Comment