Monday, 24 October 2016

Bayern munich wanamtaka Romelu lukaku.

Kilabu ya ujeruman Bayern Munich ipo tiyari kutengeneza record ujeruma kwa kutoa kitita cha Euro 65M kwa winga wa  EVERTON romelu lukaku ,mabingwa wa bundesliga wameajili MTU kwa ajili ya kumuangalia ili hasisajiliwe na Manchester city.

No comments:

Post a Comment