Wednesday, 19 October 2016

Jose mourinho amejibu swali la chama cha soka Uingereza FA.

Kocha wa Manchester united Jose mourinho amefanya mszungumzo na chama cha soka uingereza baada ya kusema "itakuwa ni ngumu kwa refali Anthony Tayro kuchezesha mechi ya Manchester united na Liverpool hapo jumatatu"
Mourinho kasema nilimtaja Tayro kwa ajili kuwa motisha wachezaji wake .

No comments:

Post a Comment