Tuesday, 18 October 2016

Mchezaji wa Nigeria amefariki kwa kupiga risasi.

Mchezaji wa Nigeria IZU  JOSEPH amekufa baada kupigwa risasi,Izu mwenye umri wa miaka  24 ambaye alikuwa akicheza kama beki katika ligi ya Nigeria amepigwa risasi baada mtu aliyekuwa na bunduki kukosea kumlega na kuielekeza kwake katika mji wa Okaki.

No comments:

Post a Comment