Monday, 17 October 2016

Pickford kufatiliwa na MANCHESTER CITY.

Kilabu ya Sunderland inaandaa ofa ya mlinda mlango Jordan Pickford kwa ajili kuongeza mkataba,mlinda mlango mwenye miaka 22 amekuwa akifatiliwa na kilabu ya manchester city.

No comments:

Post a Comment