Monday, 17 October 2016

Barcelona wanajiada na usajili kiungo imesema inamuitaji N'ZONZI kama busquet ataondoka.

Kilabu ya barcelona wanatafuta mchezaji atakayeziba pengo la Sergio busquet na Catalan amebaini kuwa anamuitaji kiungo wa  Sevila STEVE N'ZONZI  ndo utakao kuwa usajili wa kwanza hapo NOU CAMP.

No comments:

Post a Comment