Monday, 17 October 2016

LIONEL MESSI amerudi kutoka kwenye majeruhi na kufunga goli kwenye ligi ya LA- LIGA CHAMPIONI walipo ichapa DEPORT LA CURUNIA pale NOU CAMP.

Mshanbuliaji wa Argentina amerudi baada ya wiki tatu kuwa nje kwa majeruhu ,alipofunga goli baada ya sekunde 40 akitokea benchi .

No comments:

Post a Comment