Tuesday, 18 October 2016

Kocha wa zamalek amesisitiza anaweza akaifunga SOUNDOWN fainal.

Kocha wa zamalek Moemen Soliman amesisitiza timu yake inaweza ikarudia kuwafunga magoli matatu na kuwatoa katika ligi ya mabingwa Afrika hao MAMELOID SOUNDOWN licha ya kuanza na balaa hapo jumamosi iliyopita.

No comments:

Post a Comment