Friday, 21 October 2016

WIZKID,DRAKE,na KYLA nyimbo yao inafanya vizuri kwenye radio au spotify.

Ukija kwenye mzunguko wa mziki duniani unaona kuna ushindani mkubwa lakini ni kitu kukubwa kuona msanii wa afrika ambaye  anaungwa mkono na mashabiki  kutoka pande mbali mbali za dunia ,lakini wiki Wizkid,drake na kyla wakishelekea baada ya kutajwa nyimbo ya ONE DANCE.

No comments:

Post a Comment