Thursday, 20 October 2016

Jose amewaonya chama cha soka uingereza zidi ya RASHFORD.

Kocha wa Manchester united Jose mourinho amesema Marcus rashford anatakaye cheza msimu ujao wa majira ya joto uingereza chini ya umri wa miaka 21 katika kombe hilo hakuna maana kama kila mara atakuwa anahitajika.
Imeripotiwa kuwa chama soka kimebaini kuwa kinamuhitaji Rashford kuwepo fainali  huko Poland bila kujali maendeleo ya klabu take.

No comments:

Post a Comment