Sunday, 16 October 2016

POGBA:Huu ni mda wa kutoa

Manchester united wanahitaji Paul Pogba asimame kidete na kutoa uwezo wake pale ANFIELD kwa ajili ya kushinda hapo jumatatu usiku

Baada ya manchester U kutumia pesa nyingi kwenye dilisha la usajili  majira ya joto , watu wengi walikuwa wanamtegeme José morinho kuwa watapata mafanikio ya haraka lakini kwa sasa hawana raha kabisa kama ilivyo kuwa kwa ALEX  FERGUSON.

No comments:

Post a Comment