Wednesday, 19 October 2016

KIJANA MZURI ;Rafael aliyekuwa mchezaji wa Manchester united ametajwa kuwa msharaka wake anaupeleka kwa watoto wasio jiweza pindi anapokuwa majeruhi.

Mlinzi wa zamani wa  Old Trafford ambaye kwa sasa anachezea timu ya Lyon waga hapendi kulipwa msharaha pindi anapokuwa majeruhi waga anakataa kuchukua msharaha wake na kuamuru kupewa watu wasiojiweza hii imemfanya kutajwa kuwa ni moja kati ya wachezaji wanao wasaidia watu wasiojiweza duniani .

No comments:

Post a Comment