Wednesday, 19 October 2016

Luka modric amekubali kusaini mkataba mpya Real madrid.

Mchezaji wa kimataifa mkoreshia luka modric mkataba unaenda kumalizika ndani ya mwaka 2018 lakini kwa amesaini kulingana na mkataba wake kuelekea kuisha luka modric ambaye atajiunga mabingwa wa ligi ya mabwinga ulaya UEFA akitokea Tottenham 2012 august.

No comments:

Post a Comment