Thursday, 20 October 2016

Chelsea yawa juu kwa mauzo ya jezi.

Timu ya chelsea imekuwa juu kwa ligi za ulaya baada ya mauzo ya mashati yao kupanda  juu zidi ya wapizani Asernal na tottenham.

No comments:

Post a Comment