Sunday, 16 October 2016

HABARI NZURI;Real madrid wameanza mazungumzo na timu ya Borussia dortmund .

Real Madrid wameanza mazungumzo na borussia Dortmund Kuhn's kumuaza winga wao EMERICK AUBAMEYANG kwenda real Madrid
Lakini borussia dortmund wamelazimisha kupewa kitita kikubwa cha pesa ndo watamuachie

No comments:

Post a Comment