Monday, 17 October 2016

MANCHETER UNITED wanamuitaji Griezman kwa ajili kuziba pengo la ROONEY.

Manchester united wameanza mazungumzo na Atletico Madrid star Antoine griezman.
Mashetani wekundu wamaamini mfarasa huyo atakuwa ni mtu atakaye chukua nafasi ya Wayne Rooney.

No comments:

Post a Comment