Friday, 21 October 2016

Luis suarez kasema "Anatumaini kustaafu kazi yake ya mpira hapo CAMP NOU.

Mshambuliaji wa barcelona Luis Suarez amesema anahitaji kumalizia kazi ya uchezaji mpira hapo Barcelona baada ya kuchukua kiatu cha thahabu ,nafurahia sana maisha yangu  hapa Barcelona tangu nilipojiunga.

No comments:

Post a Comment