Tuesday, 18 October 2016

Sheria za BORUSSIA DORTMUND ukitoka hakuna kurudi tena.

Kiongozi wa timu ya Borussia Dortmund Joachim watzke amesema sheria yetu ipo nje kwa kurudi kwa Henerikh mkhitaryan kufatia na kuwa maisha ya chini huko Old Trafford.
Mkhitaryan alianza mchezo wake kwenye ligi ya uingereza sio mbali na huu msimu pale waliposhindwa 2-1 na Manchester city September lakini alipumzishwa kipindi mda wa  mapumziko baada kocha kumuona anamathara kwa mahasimu wao.

No comments:

Post a Comment