Tuesday, 18 October 2016

Mikataba yote ya Ronaldo ipo mwishoni.

Mikataba yote ya mshambuliaji wa Real Madrid,Ronaldo ipo mwishoni kuisha ameanza kusubiri kiasi kingine kwa ajili ya mkataba,
Kumbuka hiki,Ronaldo alipigiwa kura na raisi wa real Madrid kusajili  kwa mkataba utakao malizika 2017 na huo ndo mda wa kudadabua kwa FLORENTINO PEREZ.

No comments:

Post a Comment