Sunday, 16 October 2016

Habari mpya: Jenifer lopez atafanya show kwa usaindizi wa HILLARY CLINTON katika mji MIAMI.

Msanii Jenifer Lopez ataperfom kwenye show kwa msaada wa Hillary Clinton hapo Oct 29 pia hata msanii MARC ANTHONY na yeye ataperfom kwenye jukwa hilo lakini kuna baadhi ya wasanii hawajafahamu ambao ataungana nao kwenye tour hiyo.

No comments:

Post a Comment