Saturday, 15 October 2016

ASERNAL;Pesa ndo chanzo cha kumkosa RONALDO.

Mtumishi msitafu wa asernal scout Damien comoli kasema kwamba"Asernal walikosa saini ya cristiano ronaldo  pale alipokuwa kijana kutokana pesa zilizotakiwa akiwa kinda zilikuwa nyingi kwa asernal hivyo wakwashindwa kupata saini yake.

No comments:

Post a Comment