Mshambuliaji wa Barcelona neymar amekubali mkataba mpya ambao utamuweka hapo NOU CAMP mpaka msimu wa majira ya joto 2021.
Timu hiyo ya kikatalian wamefanya hicho kwa Euro £181M kwa mwaka wa kwanza alafu £200M kwa mkataba wa mwaka wa pili alafu mkataba wa mwaka wa tatu ni £226M kwa miaka iliyobaki litakuwa dili jingine.
No comments:
Post a Comment