Monday, 17 October 2016

Oxlade -chamberlain amesema anaweza kuondoka Asernal.

Baada ya sabu aliyofanyiwa jumamosi mchezaji wa kimataifa wa uingereza anaangalia msitakabari wa kuelekea timu nyingine ili akapata nafasi ya kucheza kikosi cha kwanza.
Alex oxlade -chamberlain amebainisha kuwa anaweza kutaka kuondoka msimu ujao.

No comments:

Post a Comment