Monday, 17 October 2016

JOSE;Rooney atapata heshima

Kapteni wa uingereza aliyetolewa kikosi cha kwaza Wayne Rooney atapata heshima kutoka kwa MANCHESTER UNITED.
Rooney alirudi OLD TRAFFORD wiki hii baada ya michezo ya kimataifa  kumalizika rooney aliyepata mafanikio kutoka wa mashabiki wa uingereza lakini siku tatu za mpito kwa kuchanguliwa kocha mpya GARETH SOUTHGATE aliyemuweka kando katika kikosi cha kwaza.

No comments:

Post a Comment