Monday, 24 October 2016

Neville hawaraumu Pogba na Herera kwa aibu ya kufungwa na chelsea.

Mchezaji wa zamani ambaye kwa sasa ni mchambuzi wa sky sport Garry neville ameraumu viungo paul pogba na Ander herrera kwa kucheza kwa kiwango cha chini zidi ya chelsea ambapo chelsea ilishinda magoli 4-0,
Mashetani wekundu walichakazwa hapo darajani(stamford  bridge)na Pedro ,cahil,hazard na N'GOLO kante wote hawa walitikisa nyavu za manchester united.

No comments:

Post a Comment