Friday, 21 October 2016

Kane kaanza mazoezi baada ya kuwa majeruhu mda mrefu.

Mchezaji wa Tottenham hary kane ameanza mazoezi hapo jana baada ya kuwa majeruhi kwa miezi kazaa kutoka na Enka ya mguu.
Kocha wake Pochettino kasema" Ni  kitu kizuri kumuona kijana wangu amerudi kwenye mstari wake wa mazoezi",

No comments:

Post a Comment