Monday, 17 October 2016

Gurdiola sina mpango wa kununua mchezaji hapo mwakani.

Kocha wa Manchester city Pep guardiola amesema sina mpango wowote wa kununua wachezaji katika dirisha la usajili hapo January mwakani labda tyu Gabriel Jesus atakuja kujiunga na manchester city kwa mwaka ujao lakini siihitaji mchezaji yoyote kwenye kikosi changu.

No comments:

Post a Comment