Saturday, 22 October 2016

Lil - kesh ameweka wazi kuwa ataachia ngoma mpya huku akisherekea kufikisha milioni moja followers instagram.

Siku nyingine tena iliyopita ambayo ilikuwa kwa msanii Tiwa savage aliposhelekea kufikisha followers million mbili instagram lakini siku msanii wa Nigeria keshinro ololade kwa jina la usanii LIL- KESH amehaidi kwa mashabiki zake na haya ni maneno yake "Nipo njiani mashabiki zangu million moja pia asanteni vijana wote ila hivi karibuni kuna video nitaiachia kwa ajili yenu"

No comments:

Post a Comment