Kocha wa Manchester united Jose morinho amesema "Taylor ni refa mzuri lakini naamini itakuwa ngumu kwake pale Anfield" kwa hiyo shirika lazima wafanyie kazi maoni yake kuhusu refali Anthony Taylor atayechezesha mechi kati ya LIVERPOOL vs MANCHESTER UNITED.
No comments:
Post a Comment