Wednesday, 19 October 2016

Pique kasema pep guardiola anajaribu Manchester city kucheza kama Barcelona.

Mlinzi wa Barcelona Gerald pique anahisia mfumo uchezaji wa Manchester city umekuwa kama mfumo wa Barcelona kama kipindi hicho akiwa kocha wa Barcelona.

No comments:

Post a Comment