Monday, 17 October 2016

Mchezaji maarufu wa NBA KOBE BRYANT amefanya mnada wa mssiki.

Kapteni mstaafu wa LA-lakers Kobe Bryant amefanya mnada wa kuuza masiki yake aliyokuwa akivaa usoni  hapo zamani masiki hiyo ilianzia kuuzwa (£15,000) mpaka {£12,204). Kwa ajili ya kutoa misada kwa watu wasiojiweza.

No comments:

Post a Comment