Thursday, 20 October 2016

KANYE WEST amepanua Saint pablor tour na kuweka tarehe.

Ni Mara ya pili ya rappa wa Amerikani ya kusini  kusafiri ameunganisha na tarehe ambayo atafanya show baada ya wizi ulitokea kwa mke au mama watoto wake KIM pale PARIS-UFARASA.

No comments:

Post a Comment