Wednesday, 19 October 2016

Ronaldo de lima amesema anamuhitaji Countinho pale SANTIANGO BERNABU.

Mchezaji mstaafu wa brazili na mshambuliaji wa zamani wa real Madrid Ronaldo de Lima  amekiri kuwa angependa kumuona mchezaji nyota wa Liverpool philipe countinho akielekea  REAL MADRID.

No comments:

Post a Comment