Friday, 21 October 2016

Eddy kenzo ananyimbo mpya ya video ya OWAMAYI.

Mwanamziki wa  Uganda Eddy kenzo ametajwa kuwania tuzo MTVMAMA 2016 hapo kesho Johannesburg Africa kusini ameachia nyimbo mpya ya OWAMAYI ,direct aliyeshuti hiyo video ni HENIX TOURCH FILM akishirikiana na wachezaji wa kimarekani.

No comments:

Post a Comment