Liverpool IPO tayari kushindana na Manchester united kwa ajili ya kupata saini ya Alexander isak ambaye anatazamiwa kuwa na uwezo kama Zlatan ibrahimovic .
INTERNATIONAL REPPORTER Senygang,About MUSIC, ENTERTAIMENT, SPORT, TOURISM, NEWS, MOVIE, SENYGANG GLOBAL PUBLISHER ONLINE.com Tz
Monday, 24 October 2016
Liverpool wapo tayari kushindana na Manchester united kwa zlatan mwingine.
ASERNAL hawana malengo na WILSHERE.
Mtangazaji wa sky sport anaamini jack wilshere alitaka kuondoka Asernal kwa mkopo kwenda Bournemouth ili kupata nafasi ya kucheza.
Kiungo wa zamani wa Asernal ambaye yupo kwa mkopo hapo vitality stadium ambapo juzi ndo Siku ya kwanza kwa wilshere kucheza dakika 90 tangu mwaka 2014.
CERTIC ;Dembele kawapeleka fainali
Mchezaji wa certic mousa dembele alifunga goli moja na kuwafanya certic kushinda zidi ya Ranger katika ligi ya scottish na kuingia fainali mwezi ujao zidi ya Aberdeen.
Pep makosa yanatugharimu tena.
Kocha wa Manchester city pep guardiola alizungumzia makosa mengine ya mabeki baada kutoka drop 1-1 zidi ya Southampton.
Chelsea yawapa maumivu makali MANCHESTER UNITED na mata.
Mchezaji wa Manchester united jana jumapili amekiri kichapo 4-0 zidi ya Chelsea ni maumivu makali kwa Manchester united ,Chelsea ambayo ilijipatie magoli yake kwa Pedro,cahill,hazard na kiungo N'GOLO kante.
Rooney lazima nibakie Manchester united mpaka kufa kwangu.
Kapteni wa Manchester united ambaye amefunga goli moja msimu huu ambapo kiwango chake kilikuwa chini zidi ya Fenerbahnce hapo alhamis .
Rooney ambaye kazi yake na umaarufu wake umeharibiwa na kocha mpya wa uingereza Gareth southgate baada kuondolewa na kwenda benchi katika mechi ya kufuzu kombe la dunia zidi ya SLOVENIA October 11.
Silva atafuta njia ya kucheza Manchester city .
Mchezaji wa Manchester city David Silva ni moja kati ya wachezaji wanao wanaoangalia uchezaji wa baadaye chini ya kocha pep guardiola baada kusikia tishio la kocha wao kuwa anataka kukisafisha kikosi cha Manchester city ili kutengeneza kikosi kinachoendana na mbinu zake za uchezaji.
Neville hawaraumu Pogba na Herera kwa aibu ya kufungwa na chelsea.
Mchezaji wa zamani ambaye kwa sasa ni mchambuzi wa sky sport Garry neville ameraumu viungo paul pogba na Ander herrera kwa kucheza kwa kiwango cha chini zidi ya chelsea ambapo chelsea ilishinda magoli 4-0,
Mashetani wekundu walichakazwa hapo darajani(stamford bridge)na Pedro ,cahil,hazard na N'GOLO kante wote hawa walitikisa nyavu za manchester united.
Bayern munich wanamtaka Romelu lukaku.
Kilabu ya ujeruman Bayern Munich ipo tiyari kutengeneza record ujeruma kwa kutoa kitita cha Euro 65M kwa winga wa EVERTON romelu lukaku ,mabingwa wa bundesliga wameajili MTU kwa ajili ya kumuangalia ili hasisajiliwe na Manchester city.
Saturday, 22 October 2016
Lil - kesh ameweka wazi kuwa ataachia ngoma mpya huku akisherekea kufikisha milioni moja followers instagram.
Siku nyingine tena iliyopita ambayo ilikuwa kwa msanii Tiwa savage aliposhelekea kufikisha followers million mbili instagram lakini siku msanii wa Nigeria keshinro ololade kwa jina la usanii LIL- KESH amehaidi kwa mashabiki zake na haya ni maneno yake "Nipo njiani mashabiki zangu million moja pia asanteni vijana wote ila hivi karibuni kuna video nitaiachia kwa ajili yenu"
Brendan Rodges amerudia kumuraumu mlinzi wake Kollo Toure kwa kufungwa mechi iliyopita .
Kocha wa Certic Brendan rodges amesema hakuna wakumuraumu na anayeniumiza kichwa ila Kollo Toure baada kufungwa magoli 2-0 zidi ya Borrusia machengladbash kwenye ligi ya mabingwa ulaya.
Leo ni siku rasimi za kutolewa tuzo za MTVMAMA award 2016 .
Mtv Africa music award"MTVMAMA AWARD 2016 " pale johannesburg Afrika kusini katika ukumbi wa TICKETPro DOME .
TAYLOR SWIFT atafanya maonyesho kwenye mji wa NEW YORK CITY.
Lady gaga ameachia nyimbo mpya ambayo ni JOANNE.
Joanne ni album ya 50 ya lady gaga niyakwanza ndani ya miaka 2 ambayo inaonekana ni nyimbo namba moja Billboard 200.
USHER,COMMON,THE ROOT na wengi neo watafanya tamasha la show pale WHITE HOUSE kwa ajili ya BET.
Tamasha la ijumaa ambalo linamshirikisha Busta rhyme,Janelle monae na Jilly scott, ambalo litafanyika November 15 kwenye jukwa la BET.
SUALEZ amekaribia kupata mkataba mrefu hapo BARCELONA.
Mchezaji wa kimataifa wa Uruguay amebainisha kuwa anafata nyao za Neymar na Javier mascherano kwa kusema lengo lake la baadaye ni kubaki barcelona kwa Luis Enrique .
Suarez ameshamaliza kuongea na mwakilishi wa barcelona kuhusu mkataba wa mda mrefu .
Carrick wa Manchester united ni Pirlo na lazima ashirikiane na POGBA.
Uwino umeanza kwenye mechi yao ya kwanza Michael carrick na Paul Pogba iliposhinda Manchester united 4-1 Fenerbance Owen Hargreave amesisitiza kuwa ushirikiano unatakiwa uendelee.
Rooney nje baada ya kurudi kwa ZLATAN njinsi gani Manchester united ipo kwenye mstari zidi ya Chelsea.
Kocha wa Manchester united Jose mourinho anauwezo wa kutengeneza mabadiliko pale Stamford bridge baada ya kurudi kwa Marcus rashford na zlatan Ibrahimovic hao ni baadhi ya kikosi kitakacho kutana kikosi cha chelsea ,mchezo hutachezwa pale Stamford bridge siku ya ijumapili.
MESSI kurudi Argetina Aguero kubaki kwenye kikosi cha kwanza,
Mshambuliaji wa Manchester city hawezi kuondolewa licha ya kuwa hana kiwango kizuri kwa mechi za kimataifa ambapo kapteni Leon Messi amerudi baada ya kupona majeruhi yake lakini moto wa Aguero ameendelea kuwa na nafasi kwenye kikosi cha Argentina kwa ajili ya kufuzu kombe la dunia zidi ya Brazili na Kolombia .
MOURINHO asema PAUL POGBA anahitaji mda ili arudi kwenye kiwango chake.
Kocha wa manchester united kasema "Mchezaji aliyevunja rekodi ya dunia Paul Pogba anahitaji mda kurudia kiwango chake hapa OLD TRAFFORD"
Mfarasa huyo mwenye umri wa miaka 23 alijiunga kwa kitita cha £89M mwaka huu jumanne alifunga magoli mawili,walipo shinda 4-1 zidi ya Fenerbance.
MOURUNHO kasema Chelsea hamuwezi kunisahau.
Kocha wa zamani wa Chelsea ambaye kwa sasa ni kocha wa Manchester united Jose mourinho amesema alikubari kufukuzwa pale Chelsea kwa sababu ya matokeo mabaya,pia akasema sijisikii vibaya kuhusu Chelsea kuniondoa lakini nasisitiza kuwa Chelsea hawawezi kunifuta katika hisitoria yao.
ATLETIC MADRID hawawezi kusajili mchezaji hapo January lakini watadumisha hatia yao.
Klabu ya Atletic Madrid hawana uwezo wa kusajili katika dirisha la usajili hapo mwakani kutokana kupewa athabu na FIFA.
Kwa upande wa Hispania na kutoka Real Madrid hii imeshawatokea lakini sababu ya kupewa athabu Atletic Madrid baada ya kusajili mchezaji aliyesajili Mara mbili pia mchezaji aliyechini ya miaka 18 kwa hiyo ni uvujifu wa sheria za FIFA.
AGUERO na KOMPANY watabakia MANCHESTER CITY kwa ajili ya baadaye.
Kocha wa Manchester city Pep guardiola amesema Sergio Aguero na mlinzi Vicent kompany wote watabakia kwa ajili ya ligi kuu ya uingereza lakini mhispania huyo akasema Vicenti hakuwa sawa na sergio Aguero alisema baada ya kupokea kichapo kutoka kwa Barcelona sasa anatakutunia mbinu.
Friday, 21 October 2016
WIZKID,DRAKE,na KYLA nyimbo yao inafanya vizuri kwenye radio au spotify.
Ukija kwenye mzunguko wa mziki duniani unaona kuna ushindani mkubwa lakini ni kitu kukubwa kuona msanii wa afrika ambaye anaungwa mkono na mashabiki kutoka pande mbali mbali za dunia ,lakini wiki Wizkid,drake na kyla wakishelekea baada ya kutajwa nyimbo ya ONE DANCE.
Fahamu nyimbo 5 za FUTURE ambazo tunategemea kuziona kwenye jukwaa la MTVMAMA AWARD 2016.
Tuna siku moja tyu kutolea kwa tuzo za MTV AFRICA MUSIC AWARD pale TICKETPro DOME hapo JOHANNESBURG,kuna vitu ambavyo tunategemea kuviona usiku wa kesho ,zifatazo ni nyimbo atakazofanya Future pale Afrika kusini
1/f***up of commass
2/diamond from Africa
3/Jumpman
4/low life
5/Honest
Eddy kenzo ananyimbo mpya ya video ya OWAMAYI.
Mwanamziki wa Uganda Eddy kenzo ametajwa kuwania tuzo MTVMAMA 2016 hapo kesho Johannesburg Africa kusini ameachia nyimbo mpya ya OWAMAYI ,direct aliyeshuti hiyo video ni HENIX TOURCH FILM akishirikiana na wachezaji wa kimarekani.
Msanii wa label ya ROC NATIONAL Tiwa savage amesema hawezi kusahau alikotoka .
Ni mwaka mzuri wa mwanamziki wa kike Nigeria Tiwa savage ametengeneza vichwa vya habari mbali mbali aliposaini mkataba kwenye label ya mtu mzima JAY Z AMERICAN LABEL Roc national hii amebainisha atafanya kazi mpya hapo roc national lakini akasema siwezi kusahau nilikotoka na nawashukuru nyote mlionisaindia mpaka kufika hapa kwa sababu Etty nimesaini label mpya.
Pochettino anaangalia kuwa kinara wa ligi ya uingereza.
Kocha wa Tottenham Mauricio pochettino amesema Tottenham inaangalia ushindi zidi Bournemouth hapo jumamosi wiki hii ili tuweze kuwa kinara wa ligi kuu uingereza .
ANDREW AYEW ameanza mazoezi lakini Andy Carroll bado anamajeruhu.
Mshambuliaji wa West Ham Andrew Ayew aliyesajiliwa kwa £20•5M akitokea Swansea,amerudi mazoezini baada ya kuuguza mguu kwa mda mrefu alipoumia katika mchezo wa Chelsea na west ham msimu uliopita lakini winga ANDY CARROLL bado anauguza majeruhi yake .
Kane kaanza mazoezi baada ya kuwa majeruhu mda mrefu.
Mchezaji wa Tottenham hary kane ameanza mazoezi hapo jana baada ya kuwa majeruhi kwa miezi kazaa kutoka na Enka ya mguu.
Kocha wake Pochettino kasema" Ni kitu kizuri kumuona kijana wangu amerudi kwenye mstari wake wa mazoezi",
Luis suarez kasema "Anatumaini kustaafu kazi yake ya mpira hapo CAMP NOU.
Mshambuliaji wa barcelona Luis Suarez amesema anahitaji kumalizia kazi ya uchezaji mpira hapo Barcelona baada ya kuchukua kiatu cha thahabu ,nafurahia sana maisha yangu hapa Barcelona tangu nilipojiunga.
Klopp anahofia tishio la West ham.
Kocha wa Liverpool Judge klopp ameapa kuwa hawezi kuchanganywa na kushindwa zaidi ya mda wote kufurahia pindi hatakapo wakalibisha Anfield.
ROSS BARKLEY ;Kocha wa everton RONALD KOEMAN amesema kiungo lazima kutimiza uwezo wake.
Kocha wa Everton Ronald koeman amesema Ross Barkley hana kipaji cha ujana wake,kocha huyo Everton amebainisha kwamba alitegemea kuona uchezaji mzuri kwa kiungo wao Barkley.
Matengemeo ya OZIL yanatengemeana na WENGER.
Mchezaji wa Asernal Mesut Ozil anahitaji kufanya maamuzi ya baadae kwa kocha wa Asernal ,Arsene Wenger kabla hajasaini mkataba mpya,Mesut Ozil ambaye mkataba wake unaisha mwezi wa sita hapo mwakani .
Chelsea na Manchester united wachezaji wa timu hizo wanafana.
Kikosi cha kwanza cha Chelsea na Manchester united wote wachezaji wanafana jinsi wanavyocheza COSTA na ZLATAN,BLIND na DAVID LUIS,FELAIN na KANTE angalia mchezaji yupi atakaye cheza vizuri ili kuiwezesha timu yake kushinda.
Thursday, 20 October 2016
KANYE WEST amepanua Saint pablor tour na kuweka tarehe.
Ni Mara ya pili ya rappa wa Amerikani ya kusini kusafiri ameunganisha na tarehe ambayo atafanya show baada ya wizi ulitokea kwa mke au mama watoto wake KIM pale PARIS-UFARASA.
GARTH BROOK amejiunga na Amazon stream service.
Mtu maarufu anayeuza uza nyimbo za wasanii wakubwa nchini marekani brook amesema yupo sawa kwa sababu amefanya kimwili na kidijitali zaidi.
Eminem amebainisha kuwa anafanya album mpya ambayo ataifungua au kuiachia Nyimbo ya COMPAIGN SPEECH.
Rapa eneminem ambaye ana mashabiki 20•8 M katika mtandao wa twitter amebainisha kuwa anafanya kazi mpya na anafurahia tangazo maaruf kama malipo ya kisiasa lakini kwenye album yake hiyo ataachia nyimbo ya COMPAIGN SPEECH.
Bruno mars atafungia AMERICAN MUSIC AWARD 2016.
Wenger anahitaji kumtunza Walcot.
Kocha wa Asernal Arsene Wenger amesema hahitaji kufikiria kumuuza mshambuliaji wa uingeleza Theo walcot katika msimu wa majira ya joto.
Walcot aliye cheza michezo 15 ligi kuu uingeleza msimu uliopita lakini amefunga magoli 5.
Ronaldo amekubari mkataba mpya madrid.
Mshambuliaji wa timu ya taifa Ureno na Real Madrid amekubari mkataba mpya wa miaka 5 lakini ataweka saini kwenye mkataba wake huo wiki chache zijazo.
Jose amewaonya chama cha soka uingereza zidi ya RASHFORD.
Kocha wa Manchester united Jose mourinho amesema Marcus rashford anatakaye cheza msimu ujao wa majira ya joto uingereza chini ya umri wa miaka 21 katika kombe hilo hakuna maana kama kila mara atakuwa anahitajika.
Imeripotiwa kuwa chama soka kimebaini kuwa kinamuhitaji Rashford kuwepo fainali huko Poland bila kujali maendeleo ya klabu take.
James kurudi Manchester united.
James Wilson amerudi Manchester united akitokea alikokuwa kwa mkopo Sky bet champion baada ya kusubuliwa na majeruhi ya goti lake.