Mwandishi wa habari nchini espania Guillem balague amesema"Isco hataondoka real Madrid mwezi wa kwanza mwakani
Kulikuwa na rumasi za isco kuhusu kuondoka mwakani lakini hicho kitu si chaukweli yote ni kwamba atabakia mpaka msimu utakapoifikia mwisho"
No comments:
Post a Comment