Saturday, 15 October 2016

Kwa yoyote anayetaka kumchukua MORRISON.

Mchezaji kiungo wa  zaman wa Manchester united na west ham Rovel Morrison anatumia mda wake nchini uingereza kujaribu kutafuta timu mpya.

No comments:

Post a Comment