Thursday, 13 October 2016

Rapa SARKODIE anachia nyimbo yake mpya

Mwanamziki maarufu nchini Ghana  sarkodie anayewania tuzo ya MTVMAMA AWARD 2016 ataachia nyimbo yake mpya "TEAM"
Amechukua nafasi kwenye television kubwa MTV base kutangaza wimbo wake

No comments:

Post a Comment