Hana nafasi captain wa uingereza Wayne Rooney kwenye kikosi cha kwaza lakini kijana mwenye umri wa miaka 18 ambaye ni mchezaji wa Manchester united Marcus rashford atakuwa anaanza kikosi cha kwanza na hiki ndo kikosi cha kwanza HART, WALKER,STONE,SMALLING,ROSE,LALANA,DIER,ALI,STERLING,RASHFORD,KANE.
No comments:
Post a Comment