Saturday, 15 October 2016

Wizkid,C4 pedro,sauti sol ,diamond plantnum,na future hawa ni baadhi ya wasanii watakao fanya show live MTVMAMA AWARD 2016.

MTV African music award Johannesburg 2016 matangazo yake utayapata kutoka TICKETPRO DOME Johannesburg kupitia runinga za MTV (DSTV chanell 322 SAA 21:00 tarehe 22 October) na hawa wasanii wanao wania tuzo zaidi ya tatu ambao ni WIZKID tuzo 6 na SAUT SOL tuzo 4  wanazo wanaia.

No comments:

Post a Comment