Saturday, 15 October 2016

Darmian amekaribia kumalizika kwa mkataba wake

Mlinzi wa Manchester united Mateo darmian atafunga mkataba hapo mwezi wa  kwanza mwakani na kuhamia Inter Milan
Kutoka kwenye magazeti ya Italy"darmian yupo katika nafasi ya kujiunga na inter Milan kwa mkopo.

No comments:

Post a Comment