Saturday, 15 October 2016

Yupo wapi MKHITARYAN.

Manchester united wasafiri kwenda Liverpool kwa ajili ya mechi yao kubwa ambayo itapigwa kwenye uwaja wa ANFILID lakini mchezaji alisaini msimu wa majira ya joto Henrikh mkhitaryan atacheza kulingana majaraha yanayochunguzwa kwenye mwili wake.

No comments:

Post a Comment