Saturday, 15 October 2016

Kelly rowland na timu yake na Trevor jackson wameachia nyimbo yao kucheza ambayo ni DUMB DANCE video.

Yapata mwaka baada kuachia nyimbo ya single dumb Kelly Rowland ameanua kufanya colabo  na mwanamziki na msani wa filamu Trevor Jackson na kuiachia dance video ya wimbo huo.

No comments:

Post a Comment