Mlinzi wa barcelona Gerald pique amebainisha hamu yake yakuwa raisi wa barcelona mara tyu hatakapo staafu soka .
Gerald pique mwenye umri wa miaka 29 ameonekana kama ufunguo hapo CAMP NOU tangu kuwasili kutoka Manchester united mwaka 2008 na nia yake ya kubaki kwenye timu hiyo ili kuyiongoza .
No comments:
Post a Comment